Huduma ya cable Temeke, wapi inapatikana?

Huduma ya cable Temeke, wapi inapatikana?

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Jamani si wengine na nyungo mbali mbali,tulisha zoea kutumia huduma ya cable tangia tukiwa mkoani Tabora,

Naulliza hapa Temeke nani anatoa huduma hiyo ya Cable.
Gharama zake kwa ujumla
 
Kaka umenikumbusha mambo ya kina Shash dah ilikuwa raha sana dar sijui kwanin hawana.
 
Jamani si wengine na nyungo mbali mbali,tulisha zoea kutumia huduma ya cable tangia tukiwa mkoani Tabora,

Naulliza hapa Temeke nani anatoa huduma hiyo ya Cable.
Gharama zake kwa ujumla

Mkuu pole sana, nilipoona tu hii post nilijua tu we umetoka mikoani!! kifupi kwa hapa dar cable utasubili sana hakuna, labda maeneo ya upanga ndio huduma hiyo ilikuwepo, sasa sijui kama bado ipo, ila kwa tmk haijawahi kuwepo, na ndio kinachopelekea kwa dar, supersports kuwa ni anasa!! kwani kama we ni mpenzi wa mipira nunua tu, au uende kwenye mabanda. Kweli kwa dar ni shidaaa, ndio maana ukitoka mikoani inakuwa tabu, ila nadhani ni ukiritimba tu kwani haiwezekani mikoani kuwe na huduma hiyo kwa dar ishindikane, nilishawahi sikia kuwa dstv ndio wanaweka kauzibe wa hii huduma ya cable kwani itaua biashara yao. POLE SANA MKUU CC TULISHAZOEA.
 
Back
Top Bottom