Mr. Kilonzo
Member
- Aug 2, 2015
- 36
- 12
Habari wana jamvi,
Naomba msaada wa mahali ninapoweza kupata hard disk enclosure za laptop hdd.
Zile za WD au Transcend zinapatika wapi, ziwe na speed ya 3.0 ni kwa ajili ya SATA hdd
Nikijua na bei itasaidia zaidi
Ahsanteni.