Code za kufungua HUAWEI Y300

Code za kufungua HUAWEI Y300

aupa

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
49
Reaction score
9
Nahitaji simu yangu iweze kuingiza line pia za mitandao mingine tofauti na Tigo tu. Mwenye kuweza kunisaidia code NITASHUKURU MNOO
 
Wasiliana na Mwl RCT member wa hapa jf.
 
Last edited by a moderator:
aupa mkuu ameshakupa jibu hapo juuu.. wasiliana na huyooo jamaa.. tatizo lako limeisha..
 
Last edited by a moderator:
Nashukuruni sana wakuu. Ngoja nikamtafute
 
Back
Top Bottom