Wakuu msaada

Wakuu msaada

omurwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2014
Posts
509
Reaction score
186
Naomba kufahamishwa eti thinner inasaidiaje katika kupambana na nyoka, asanteni.
 
kwanza tambua kuwa nyoka ni sensitive sana kwenye Harufu,...
Pia mvuke wa Thinner (Vapour) inaLewesha na pia thinner ina Affect ngozi ya nyoka, kama ilivyo mafuta ya taa na petrol. Sio thinner pekee yake inamuathiri nyoka , bali pia Petrol, mafuta ya taa na harufu kama ya mpira unaochomwa.

ndio maana hata kule kwetu kijijini tunachoma mpira kwenye vichaka ili kufukuza nyoka, au tunamwaga mafuta ya taa etc
 
kwanza tambua kuwa nyoka ni sensitive sana kwenye Harufu,...
Pia mvuke wa Thinner (Vapour) inaLewesha na pia thinner ina Affect ngozi ya nyoka, kama ilivyo mafuta ya taa na petrol. Sio thinner pekee yake inamuathiri nyoka , bali pia Petrol, mafuta ya taa na harufu kama ya mpira unaochomwa.

ndio maana hata kule kwetu kijijini tunachoma mpira kwenye vichaka ili kufukuza z, au tunamwaga mafuta ya taa etc

Asante sana mkuu, umenipa elimu niliyokuwa nahitaji.
 
Back
Top Bottom