Anayeweza kunisaidia kupata spare za Volvo s60 2001 Model

Anayeweza kunisaidia kupata spare za Volvo s60 2001 Model

Clemford

Member
Joined
Nov 26, 2011
Posts
63
Reaction score
91
Wadau nina gari ya 2001 Volvo S60. Juzi kati ilipata hitilafu kwenye cooling Systme yake baada ya kuwa na leakage kwenye rejeta. Aliyokuwa anaendesha pia hakusoma alert ya temperature gauge sasa imeharibu piston. Anayeweza kunisaidia kupata piston set na vifaa vingine naomba anipm then tutawasoliana zaidi. Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom