Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari za humu wakuu, nataka kununua photocopy machine kwa ajiri ya stationary, kuna mtu kanishauri kutumia canon ir1024. Je kwa wataalamu hii machine ni suitable kwa busy activities za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waku pole kwa majukumu naomba msaada wa kufahamu bei ya huawei y530 mpya inayoingia line zote. Bei ya duka. Natanguliza shukran zangu
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika TECNO H3 nikigusa redio haiwaki, response inayokuja: Currently not available, Wi-Fi imeganda kwenye: Turning on Wi-Fi, Bluetooth inawaka na kuzima sekunde hio hio inapoguswa. Kipi kifanyike...
1 Reactions
1 Replies
790 Views
Habar wakuu! Nina computer yangu dell vostro 1200 tokea Jana usiku ukiwasha inandika starting window. halafu inaanza tena na tena. wajuzi niombeni msaada jinsi ya kufix hill tatizo.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
wandugu nawaomba serial keys ya serato dj .na full version ya virtual dj 8.thanks in advance
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Ndugu wana JF. Habari za Leo Hii ni mara ya pili kwa upande wangu kutumia simu na kupokea kauli za kutatanisha kutoka kwa mafundi. Mwanzoni nilikuwa na na nokia n 95 ambayo katika mazingira ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
nimedelete apps kibao lakini bado inaonyesha internal memory is full
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Za weekend waungwana. Hebu tusaidiane hapa, mwenye kujua App ya android ambayo inauwezo wa ku convert Mp4 videos to AVI au MPEG ili zi play kwenye deki hasa hizi za singsung. Nimejaribu App...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Mm nam ni muhitim ya degree mwaka huu kutoka mzumbe nilikuwa natafuta watu wenye interest kama ya kwangu ya kupenda programming ili tuungane na kuform company kama tutakuwa na interest moja kuliko...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau, Mimi nipo safarini natoka Arusha kuja Dar. Nimetoka Arusha simu yangu charge percentage ilikuwa 45% nakuja Dar na nataraji kufika usiku kama saa moja hivi na nahitaji mawasiliano. Je...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wadau kama kichwa cha Habari kinavyosomeka hapo juu. Kuna rafiki yangu ameniomba nimtafutie Combo TV Box. Mimi sijui kwa sasa nitapatia wapi hivyo nimeamua kuja humu jukwaani ili niweze...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
mwenye ram tajwa hapo juu inahitajika iwe ya 2gb napatikana kimara korogwe laptop model toshiba mini NB 200
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna tofauti gani kati ya galax s4 original na galaxs4 copy naombeni majibu, mimi inanishinda kutofautisha.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau naombeni mnielekeze jinsi ya kuset ungo kupata satelite ya paksat 1r ukianzia urefu unaotakiwa kupima kwenye pipe ya nyuma kutoka ndani ya pipe kubwa ya madish makubwa ya prime focus ya bati...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimenunua simu mpya aina ya Samsung duos gt-7582, tatizo linakuja kwenye Google PlayStore, kila nikitaka nidownload Application yoyote kama vile Whatsapp inaniletea message ikisema SERVER ERROR...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wana jamvi wenye ujuzi waa kitu, once nakumbuka while natumia samsung note 3. Ilikuwa na multi window, kwa watumiaji wa samsung wanajua nazungumzia nini. Naomba kuuliza vipi kwenye samsung s3 hii...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Napenda kufahamu kama laptop ya Dell unaweza kuiwekea window camera na ikapiga picha au kuchukua video, mtaalam anijuze tafadhali..
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wakuu kwa anayejua jinsi ya kuset anielekeza
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajf,, Tatizo langu ni usumbu ninaoupata wa kuongeza na kupunguza sauti mara kwa mara pindi ninapokua nasikiliza music kwenye usb kutokana na nyimbo kua na sauti zisizokua na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi kuna kitu kimekuwa kikinitatiza juu ya mtandao wa zantel maeneo ya vijijini. Huwa ninashangaa kuona line yng ya zantel inapokuwa hewani ninapokuwa maeneo ya vijijini na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom