Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kuna king'amuzi (kisimbuzi), kinaitwa DVB, nasikia ni kizuri sana, naomba mwenye kukijua basi anijuze tafadhali, asante!
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hivi I.T inahusisha mambo ya simu tuu mbona hili jukwaa lipo lipo watu daily kujadili mambo ya simu tuu sijui whatsaap yangu imefanyaje mimi hizi issue zinanikera hebu tujifunze mabo ya tija! jamani .
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Whatsapp yangu imegoma kufanyakazi . Nikijaribu kuifungua inaniletea ujumbe huu your phone number is no longer allowed to use our service. Anayefahamu zaidi tafadhari
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habar wadau....naomba kusaidiwa serial number za adobe photoshop cs6. Natanguliza shukran zangu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naitaji ku update nokia lumia 610,mwenye uwezo huo anisaidie tafadhali nahtaj window 8.1 asanten
0 Reactions
5 Replies
939 Views
Nimepata simu mpya kutoka ulaya lakini ina custom room ambayo siijui sasa nataka kuirudisha ile ya zamani msaada jamani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mambo najua mko poa kabisa humu ndani Samahani ! Mwenye link ya Whatsapp plus, Naomba Ntashukuru sana , nataka Simu Yangu iwe na Whatsapp mbili Asanteni Mr.asubuhi sana ,usiku mwema
0 Reactions
7 Replies
2K Views
naomba msaada nisaidieni simu yangu imeanza tatizo la kujiwasha data na wifi yenyenye wakati nime turn off...
2 Reactions
21 Replies
9K Views
Baada ya kuflash stock rom whasap ikawa haionesh majina ya makund lkn yote nayaona ntaweka picha . Kingne ninapo taka ku update into custom rom....nina install zip zipi maana ninaona mbil...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Watalaam wangu nimedownload hii app ya mobdro ktk KASIMU kangu tecno h6 lakini kila nikifungua channel ili niangalie game mfano skysport unaangalia dk3 halafu inaseach tena na mtandao unasoma H...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jf.. leo pita pita zangu playstore... nikiwa natafuta apps fulani kwa ajili ya simu yangu nikakutana na torrents... Bittorrent Utorrent Na zingine,, Nikawa inspired nikajaribu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau nimekuwa niki-record baadhi ya vipindi toka kwenye decoda(kisimbuzi) lakini hazi-play kwenye computer. Please naomba kufahamishwa kama inawezekana ku-convert aina hiyo ya file na namna ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wataalamu wa haya mambo ya kuroot ninaomba kufahamishwa zoezi zima la kuroot simu,kuondokana na app zinazoingia zenyewe bila kuziruhusu n.k kwa ujumla ninamaana simu iwe imekamilika ktk zoezi zima...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Naomba msaada wenu ktk hili, nimeona post za wadau wakielezea na kutoa juu ya update za simu zao na jinsi zinavyoongezeka ubora wake ktk matumizi. Je, kwa simu za Tecno...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu hivi ni kwangu tu au kwa wote tunaoishi mitaa ya Tabata Mawenzi? Kila ikifika kuanzia saa moja jioni hadi usiku wa manane net inakua kimeo yaani hata kufungua google search kwa simu ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana Wa JF nimejarbu mdaa mrefu saana kutafuta key za ku activate CS6 nimeshindwa.. Naomben msaada mwenyewenazo au hata link nidownload mwenyewe.. Itakuwa poa tu.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wataalam, nimeunga kimita cha kusoma unit ninazotumia kama unavyoona kwenye picha, wire mwekundu mkono wa kulia unaingiza umeme kwenye mita, huo hizo nyekundu zinazofuatia zilizobebanishwa zinatoa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu habari za kazi! nataka kununua nokia lumia ya bei ndogo kupitia Jumia Online! Naomba mnisaidie kati ya hizi simu ipi naweza tumia Mpesa, Tigopesa na Airtel money?...... Nokia Lumia 520...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habar za leo wakuu, nmekuja na tatizo langu moja nataka mtu wa kuactivate abu dhabi hd decoder yangu ilikua na one year subscriptions sasa imeisha yeyote anayeweza tuwasiliane 0714 044 048 obbie
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom