Msaada Kujua MP3 na WAV

Msaada Kujua MP3 na WAV

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wadau naomba kujua kati ya MP3 NA WAV ni format gani inayochukua bytes nyingi?
 
Wadau naomba kujua kati ya MP3 NA WAV ni format gani inayochukua bytes nyingi?
.wav format kwa kawaida ina file size kubwa.

Wav ndiyo inakuwa kubwa zaidi unapiweka kwenye high quality
.wav ndiyo kubwa, lakini sikubaliani na wewe kwamba wav ukiweka high quality ndiyo inakuwa file size kubwa kwa sababu zifuatazo;

  1. Wav ni lossless audio format, kwa hiyo lazima litakuwa mara tatu au nne ya file size la .mp3
  2. Kutokana na mantiki hiyo hapo juu, .wav hata ikiwa kwenye quality ndogo lazima tu itazidi ukubwa wa mp3, jaribu kuangalia encoders nyingi utaona. Wav, flac, apple lossless na aiff zote hizo ni kama containers za audio kwa kuwa kunakuwa hakuna quality loss, that's why hata zikaitwa lossless. Lakini .mp3 ni compressed audio file ambayo ili-intend zaidi katika kusave space.

Kwa hiyo dugu teac kapex file size inalosave space zaidi ni .m4a, ambayo ndiyo successor wa .mp3 ingawa .m4a siyo open source kama .mp3. M4a inamilikuiwa na apple company.
Kwa hiyo ninakushauri kama una cd unazotaka kurip na una space kwenye computer, nakushauri urip kwenda lossless kama flac, wav etc. Lakini kama una nyimbo unazotaka kuzichange format, sitakushauri maana utavuruga quality ya hizo nyimbo kama utachange format kubwa, unless ikulazimu sana.
KUMBUKA: Ukitaka size ndogo lazima upoteze quality kwa kiasi kikubwa, kwa hiyo hata hutaweza kufurahia kama ni nyimbo, kwa sababu "quality matters", kwa hiyo jaribu
 
Back
Top Bottom