Nenda playstore search contact backup au search hata csv halafu download app yake then backup contact zote.
Toa line then eka line unayotaka restore contact zako toka kwenye ile app.
habari za majukumu wakuu.
samahani naomba mnisaidie jinsi ya kuhamisha majina yaliyo kwenye laini kwenda kwenye simu, nataka nibadilishe laini ila contact nibaki nazo. simu ni android.