Msaada kuhusu tecno m3

Msaada kuhusu tecno m3

Zikwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
239
Reaction score
131
habari za umu wakuuu natumia sim tajwa hapo juuu na tatizo lake kubwa ni kujiwasha data yenyewe yan nikizima tuu inakaa dakika mbili au tatu inajiwasha
Nimearibu kuangalia thread zilizopita na kufanya yale ambayo yanaelekezwa ikiwemo kutoa tick kwenye ACCESS TO LOCATION,kudisable WEATHER,kutumia launcher nyingne ya NOVA LAUNCHER lakin tatizo lipo palepale ..
Hivyo nimeona ni bora niludishe mada hii apa labda kuna ujuzi mwingine umepatikana kupitia hili tatizo mana kiukweli linanitesa sana
NAOMBENI MSAADA WENU WAKUUB
cc chief mkwawa na wakuu wote mtakaonisaidia
ASANTE....N
 
natumia simu aina hiyo hiyo, hilo tatizo kwangu ni sugu sana mpaka nimefikiria kuwa ndivyo simu hii ilivyo
 
Wanajukwaaa tusaidieni wenye ujuzi tagadhari....???
 
mkuu tafuta simu nyingine tu kwa bugdet ya sh 115000 utapata simu nzuri tu yenye 4.4.2 kitkat,ips touchscreen,4inch, 480p resolution inaitwa TECNO Y3S..
 
habari za umu wakuuu natumia sim tajwa hapo juuu na tatizo lake kubwa ni kujiwasha data yenyewe yan nikizima tuu inakaa dakika mbili au tatu inajiwasha
Nimearibu kuangalia thread zilizopita na kufanya yale ambayo yanaelekezwa ikiwemo kutoa tick kwenye ACCESS TO LOCATION,kudisable WEATHER,kutumia launcher nyingne ya NOVA LAUNCHER lakin tatizo lipo palepale ..
Hivyo nimeona ni bora niludishe mada hii apa labda kuna ujuzi mwingine umepatikana kupitia hili tatizo mana kiukweli linanitesa sana
NAOMBENI MSAADA WENU WAKUUB
cc chief mkwawa na wakuu wote mtakaonisaidia
ASANTE....N

unatumia line ya airtel? au pengine hiyo simu haukununua brand new. kama simu ya android imewekewa avast antitheft itakuwa inajiwasha wifi yenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom