Wadau mara kwa mara nakutana na tatizo hili,nikidownload movie yify (Torrent site) nikitaka kuicheza napata ujumbe huu... this file could not be rendered.Nimejaribu kutymia player mbalimbali kama...
Habari Wana jf?? Nikitaka kupiga picha katika cm yangu inasem hivi "Camera has stopped unexpectedly need to restart" na hatimaye inafeli kabissa kupiga nishajaribu kui restore mara kadhaa...
habari naomba kujua apps ya recording audio kama studio yaana naingiza sauti nafanya mix na kila kitu then napata nyimbo iliyokamilika iwe kwa smartphone nyingi ni demo naitaji free
Wakuu salaam,
Baada ya salamu nina shida ya namna ya kupakua video Facebook, Instagram na kufungua zile za YouTube hapa JF. Nia ziweze kuwemo kwa kumbukumbu yangu ya simu.
Je, nitumie utumizi...
Natumia receiver aina ya DVB - S2 Satellite receiver (MediaCom MFT - 940 Plus) kwa kutumia Dish dogo, nimeifunga kwenye NILESATE 7°W, na signal zipo vizuri. Ila tatizo channel za kitanzania zote...
Wakubwa habari za majukumu,simu yangu imekumbwa na tatizo ikiwa ni baada ya kuupdate android version kutoka 4.4.2 kuwa 5.0 kwa kutumia odin kila nikiingia setting kwa lengo la kufanya setting...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.