Jaman mnisaidie jinsi ya kuipata hii cm nataka nmnunulie wife sababu ya bei yake imenilazmu niitafute kwa udi na uvumba,,mi nipo sumbawanga nmejarbu kwenda vodashop sumbawanga wakaniambia bado...
Habari zenu humu ndani,, nina simu yangu ya tecno h 6 hivi karibuni imepatwa na tatizo la kuingiza chaji Pole Pole sana, yani unaweza ukaweka chaji masaa manne lakini ukakuta imeingiza asilimia 15...
Salam kwenu, nahitaji kupata mtaalam wa kufanya uchakachuzi wa king'amuzi cha star Timez ili kiweze kukamata zile channel za wale watu wa kwa madiba. Nimefikia kutoa ombi hili humu kwani naamini...
Habari wandugu
Mi Ni mmoja ya watu wenye hamu ya kupata CISA. Je nafanyaje? Vitabu napata wapi? Any website yenye madesa ya shule hii mnaweza suggest nikapitiamo?
Ntashukuru kwa msaada wenu.
Habari wakuu, nataka kununua laptop, bajet tajwa juu hapo, je ninunue aina gani, inayokaa na chaji kwa muda mrefu na sifa nyingnezo kwan mimi ni mweupee katika haya maswala.
#chief mkwawa
Wataalamu.. Nina samsung s4 yangu.. Naona umeibuka na tatizo hili sijui what to do...
Nikiangalia naona kuna sms ipo lakini nikiingia kwenye sms app naona hakuna unread sms..
Bt nilitumiwa...
Simu Yangu Ya Android Os Niliwahi Kuunistall System App Ya Gmail So Jana Nlirestore After That Nkaiwasha Inafika Mpaka Kwenye Ile Chata Ya Android Na Press No Response Naomba Kama Kuna Mtu Anajua...
wakuu nahitaji msaada namna ya kufunga single phase change over switch nina contractor na auxiliary Generator yangu ina supply 6kVA ni portable generator ni install vp hii change over switch...
Habari zenu wadau,..
Ninatumia laptop aina ya Sony Vaio (VPCEG 25FX).
Leo nimepata tatizo kama ifuatavyo,..
Kila nikiiwasha inawaka bt ikifikia screen kudesplay folder (desktop) tu inajizima (na...
Msaada kwa anayeifahamu indetails hii printer; je inaweza kutumika for commercial purposes?? Vipi kuhusu wino wake na vijispare vyake katika upatikanaji wake na bei yake?? Naombeni msaada wakuu.
"On Monday, 1 in 7 people on Earth used Facebook to connect with their friends and family," wrote founder Mark Zuckerberg (The Verge). That's one billion people using the social network in a...
yapata siku ya nne sasa nahangaika na simu yangu itel t 1452 kwa tatizo la pattern, nimesahu pattern niliyoweka kwani ilinibidi kubadili ya mwanzo ili kupunguza udukuzi wa washkaji, sasa ndugu...
Habarini wapendwa.
Niende moja kwa moja kwenye tatizo langu. Nina simu moja ambayo ni Vodafone 785 kwa muda Wa Mwaka mmoja na miezi kadhaa imekuwa ikifanya kazi vzuri sana. Lakini tangu juzi...
Salamu wakuu, simu yangu note1 inagoma kubrowse internet connection sizani kama kuna shida maana naweza kuchat watsapp,facebook,instagram na kudownload via playstore ila nikiingia kwenye internet...
Wadau, nimeibiwa simu. Naomba kuuliza ikiwa kuna namna naweza kuipata simu iliyoibiwa. Na je kama ninazo IMEI namba inaweza saidia kui-trace simu au kuiblock? Msaada plz.
habari wadau
nilipotea kidogo sasa nipo nimerudi.
Msaada wa kuweza kupata driver za hasee laptop kwani usb zake kwenye laptop yangu hazifanyi kazi msaada zaidi
msaada wadau usb (usb port) za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.