Msema yote
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 448
- 301
yapata siku ya nne sasa nahangaika na simu yangu itel t 1452 kwa tatizo la pattern, nimesahu pattern niliyoweka kwani ilinibidi kubadili ya mwanzo ili kupunguza udukuzi wa washkaji, sasa ndugu zangu msaada wenu tafadhali kwani nimejaribu kurest factory inaomba pattern hivo mwenye msaada zaidi wa namna gani nifanye ili simu yangu iwe katika hali yake tafadhali atoe mchango wake wa dhati,
natanguliza shukrani kwenu
natanguliza shukrani kwenu