Nina tecno S5 ghafla imeanza tatizo la kutosoma memory card kuna wakati nikiitoa nikairudisha inasoma ila baada ya muda inapotea tena hata nikibadilisha memory card tatizo linajirudia tatizo...
habar.ninahitaji kununua laptop mpya kwa ajili ya gaming pia kwa ajili ya chuo.bajet yang n 650,000 mpaka 800,000.unanishaur nichukue mzgo upi wa kisasa?
Nimejaribu kununua simu onlin kupitia mtandao wa Jumia pila hata kuijua vizuri hiyo simu. Simu yenyewe ni Startimes Planet 5. Mwenye ufahamu wa hii simu anijuze maana jamaa wapo serious na kesho...
nmenunua laptop mwaka jana hp probook, tatizo ni kwamba nmeshanunua adopter tatu hata mwaka haujafika bado, kila adopter ninayoinunua hufanya kazi kwa muda kidogo then hushindwa kupeleka moto...
Wakuu samsung galaxy S3 yangu inasumbua ku-charge..nikichomeka kwenye charger moto unaingia kidogo kama sekunde nne halafu inaacha kuingiza moto. Nimenunua charger mpya na battery mpya bado tatizo...
Habari jf. Naomba msaada. Nimenunua modem ya zantel nikiconnect kwenye laptop yangu unakuwa slow sana. Naomba ushauri nifanye nini ili iwe faster I nasoma edge badala ya 3g.
Habari za majukumu wakuu...
Tafadharini naomba kuuliza nimekuwa nikiona kwenye page za watu maalufu mfano kwenye tweeter, followers 11.1k n.k hiyo k inamaanisha nini?
Wakuu Umofia,
Ninaomba yeyote mwenye link ya website yoyote ambayo naweza ku pata access ya kuwatch na ku download Video training za topic mbali mbali za Engineering, Business, Documentaries etc...
Wadau naombeni msaada.Nina sony vegas video editor,ila kila ninapotaka ku import video clips ambazo ni mp4 nilizopiga na simu inakataa haizioni/haizisomi.Nafanyaje wadau,msaada.
Poleni na heka heka za kuelekea october 25!
Nina simu yangu nimeliinunua toka nje (CHINA) aina ya Lenovo S860 inanisumbua sana kupata network ya 3G ingawa kwa huko China ilikuwa inapiga mzigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.