Willy Gamba 1
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 352
- 377
Salam kwenu, nahitaji kupata mtaalam wa kufanya uchakachuzi wa king'amuzi cha star Timez ili kiweze kukamata zile channel za wale watu wa kwa madiba. Nimefikia kutoa ombi hili humu kwani naamini ndipo jukwaa sahihi na pia gharama mpya wanazochaji hawa wa kwa madiba zinabana kiukweli. Nasubiri kwa hamu kusikia kutoka kwenu wajuvi wa tricks kwani naamini hakuna linaloshindikana