Msaada Tadadhali wapendwa

Msaada Tadadhali wapendwa

makaghari

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
544
Reaction score
530
Habarini wapendwa.
Niende moja kwa moja kwenye tatizo langu. Nina simu moja ambayo ni Vodafone 785 kwa muda Wa Mwaka mmoja na miezi kadhaa imekuwa ikifanya kazi vzuri sana. Lakini tangu juzi imekuwa ikipoteza network na huduma ya internet imekuwa hafifu sana. Ninapopiga simu mda mwingine huandika Normal calls restricted by access control kama jinsi inavyoonekana hapa chini.
1440914193249.jpg
 
kwenye call setting kuna kitu umefanyaaa mkuuu.... ngoja aje huyu jamaaa akusaidie mkuuu....
kcamp
ymollel
 
Last edited by a moderator:
Habarini wapendwa.
Niende moja kwa moja kwenye tatizo langu. Nina simu moja ambayo ni Vodafone 785 kwa muda Wa Mwaka mmoja na miezi kadhaa imekuwa ikifanya kazi vzuri sana. Lakini tangu juzi imekuwa ikipoteza network na huduma ya internet imekuwa hafifu sana. Ninapopiga simu mda mwingine huandika Normal calls restricted by access control kama jinsi inavyoonekana hapa chini.
View attachment 281950

Hiyo simcard yako iweke kwenye smartphone nyingine then uone itafanyaje, ili uweze kujua kama ni tatizo la simu au line yako
 
Habarini wapendwa.
Niende moja kwa moja kwenye tatizo langu. Nina simu moja ambayo ni Vodafone 785 kwa muda Wa Mwaka mmoja na miezi kadhaa imekuwa ikifanya kazi vzuri sana. Lakini tangu juzi imekuwa ikipoteza network na huduma ya internet imekuwa hafifu sana. Ninapopiga simu mda mwingine huandika Normal calls restricted by access control kama jinsi inavyoonekana hapa chini.
View attachment 281950



kuhusu internet hakikisha apn zako zipo sawa..make sure apn umejaza internet.


na hilo la normal call nadhani ni issue tu ya provider wako..unatumia mtandao gani? wapigie waeleze ,njia rahisi fanya kutumia laini tofaut na huo mtandao wako then angalia kama bado utakua una hilo tatizo na kama litaendelea basi jaribu ku uninstall application ya mwisho ambayo uliweka kweny simu yako.
 
Namshukuruni sana ndugu zangu. Ngoja nijaribu kufanya mliyonielekezeni
 
Back
Top Bottom