Laptop za laki 4 Ni hizi mini laptop ambazo kwa muono wangu hazifai kununua. Ongeza laki 1 utapata angalau laptop za Celeron au Pentium zenye ram 2gb na had 500gb. Na kama utaongeza laki 2 unaweza pata ya i3.
Kama huwezi kuongeza budget kabisa Ni bora ukatafuta used laptop kuliko kununua mini laptop za Intel atom.
Kwa laki 4 used unaweza pata laptop ya i3 hadi i5
Kwa charge unategemea ikae masaa mangapi? Upo tayari kukaa na laptop yenye 32gb memory sababu ya charge?
ahaaaa!nikiongeza laki,unanishaur aina gan?mm czjui kabiisa
more than 7
hope unaelewa kwenye laptop za bei rahisi huwezi pata vyote perfomance na battery life. ukichagua kimoja basi kingine unakosa.
nilikuuliza juu unaweza tumia laptop yenye internal memory ya 32gb? siku hizi zipo laptop zenye 32gb zinazotumia memory za simu badala ya hdd na processor ndogo hivyo kupelekea kukaa na chaji sana. unaweza ongeza hio storage kwa memory card au external hdd. mfano asus x205
![]()
laptop kama hio inakaa na chaji masaa 12 na pia bei yake ni chini ya dola 200 hivyo unaweza ipata madukani kwa hio budget yako 400,000 hadi 450,000
kama hutaweza vumilia storage ya 32gb itabidi upande budget ya 500,000+ then tafuta laptop zenye processor hizi
-celeron n3000
-celeron n3050
-celeron n3150
unaweza bahatisha hio battery life.
au alternative tafuta laptop used halafu inunulie 6+ cell battery then itakaa sana na charge.
Shukrani mkuu kwa maelezo hayo,ila kwangu memory sio ishu sana,ningependa kujua processor na ram yake hii ya 32gb.na nikipata kwa majina nitashuru pia.
Location kwa hapa tanzania naweza kupata wapi
Natanguliza shukrani mkuu
nilishawahi kupata intel core i5 used
internal 300gb
processor 1.8ghz
ram 3gb
kwa laki 4 kamili nahifurahia mpaka sasa nina zaid ya mwaka, sema kununua used unacheza bahati nasibu kama alivosema mkuu unaweza pata yenye vitu pungufu ama yenye matatizo makubwa na ukajutia lakini ni vizur ukipata kitu brand new kwa kuongeza kuanzia kilo moja kwenda juu kutoka hapo ulipo
laptop mpya kabsa ambayo sio used yenye uwezo mkubwa inaweza ikawa sh.ngp na naweza pata wap hapa DAR
laptop mpya kabsa ambayo sio used yenye uwezo mkubwa inaweza ikawa sh.ngp na naweza pata wap hapa DAR
Nunua inayoendana na matumizi yako. Zingatia processor na memory. Intel i5 processor inafaa kwa kazi za ofisi, screen ya 13 inches haili betri kama zile kubwa za 15.6". Memory isipungue 4GB RAM na disk ya 500GB inatosha.