Ntaipataje simu ya vodacom smartkicka?

Ntaipataje simu ya vodacom smartkicka?

Mr Suprize

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
877
Reaction score
981
Jaman mnisaidie jinsi ya kuipata hii cm nataka nmnunulie wife sababu ya bei yake imenilazmu niitafute kwa udi na uvumba,,mi nipo sumbawanga nmejarbu kwenda vodashop sumbawanga wakaniambia bado hazijafka ...so nmebak dailema cjui ntaipataje,,msaada tafadhal!
 
Zinapatikana zaidi Vodashops.Kama Sumbawanga hakuna, tafuta vodashops za Mbeya, hasa Lupaway.
 
mwambie mtu akutafutie hapo Tunduma au Mbeya au Dar kabisa halafu akutumie kwenye gari.
 
Jaman mnisaidie jinsi ya kuipata hii cm nataka nmnunulie wife sababu ya bei yake imenilazmu niitafute kwa udi na uvumba,,mi nipo sumbawanga nmejarbu kwenda vodashop sumbawanga wakaniambia bado hazijafka ...so nmebak dailema cjui ntaipataje,,msaada tafadhal!

Tuma pesa nikununulie
 
Back
Top Bottom