aggrey kimambo
Senior Member
- Aug 10, 2015
- 129
- 142
Msaada kwa anayeifahamu indetails hii printer; je inaweza kutumika for commercial purposes?? Vipi kuhusu wino wake na vijispare vyake katika upatikanaji wake na bei yake?? Naombeni msaada wakuu.
Msaada kwa anayeifahamu indetails hii printer; je inaweza kutumika for commercial purposes?? Vipi kuhusu wino wake na vijispare vyake katika upatikanaji wake na bei yake?? Naombeni msaada wakuu.
Kibiashara nakushauri epson, hizo za canon pixma catridge na spare utakuwa unahudhuria sana nairobi
Nashukuru sana mkuu
Ku refill lkn inawezekana?? Au kufanya CISS?? Kipi ni nafuu hapo kwenye gharama za wino??
Kwa canon kuifanya CISS inawezekana lakini ugumu ni upatikanaji wa CISS systems zake hata mafundi wanazikimbia. Pengine uagize ciss kutoka nje ya nchi. Kuhusu kuRefill cartrieges inawezekana tu kama printer zingine lakini haitakupa uhuru kama printer yenye ciss