dmkali ninakuunga mkono automatically tatizo ni charger tuuu....nakushauri tumia.chaja original za tecno H6
Jaribu kutumia charger nyingine.. Tena iwe ni ile yenye uwezo mkubwa wa 3.7 v ..Mara nyingi charger za miguu mitatu hasa zile Inazotumia USB port n nzuri.....kama tatizo hilo litaendelea basi huenda kukawa na shida ktk system charge....Pima cm yako kama inapandisha vote vizur yaan ..kama inapanda na kushuka has system charg imekufa mpelekee fund a toe awake nyingine..kama gharama utaona no kubwa...bas nunua chaja ya Kobe nzuri halaf tumia kuchaj Betry lako had Hapo utakapata pesa
Habari zenu humu ndani,, nina simu yangu ya tecno h 6 hivi karibuni imepatwa na tatizo la kuingiza chaji Pole Pole sana, yani unaweza ukaweka chaji masaa manne lakini ukakuta imeingiza asilimia 15 tu,, nimebadili betry lakini tatizo bado tu
Sometime wachina wanadanganya specs, unatumia simu gani? Kama ni ya mediatek sio mbaya hio charger ya tecno ila kama una simu ya qualcom na una hela kidogo i recomend chaja ya note 4. Around dk 30 hadi 45 simu inakaribia kujaakuna chaja ya Tecno ni ya USB cable, ina miguu mitatu,
hiyo ina 2A,
sasa nliogopa kuchkua kwa kuogopa bidhaa za tecno kwa kudhani labda ni dhaifu na hazina ubora..
USHAURI plz
natumia Samsung Galaxy S2
S2 ina exynos na battery ndogo, nafkiri ya tecno itafaa, tafuta hata ya rafiki yako utest then utafanya uamuz wa kununua
S2 ina exynos na battery ndogo, nafkiri ya tecno itafaa, tafuta hata ya rafiki yako utest then utafanya uamuz wa kununua
Powerbank nyingi ni za kichina na hazifanyi kilichoandikwa. Umejaribu kuchajia simu nyengine inajazaje?sorry mkuuu nakutoa nje ya topic.... nina power bank nimepewe na ndugu ina port moja.
ina 8000mAh with 1A ila..
ila haijazi simu yangu mkuuu samsung s4..
naweza nikaichomeka kama kuichagi bt kujaaa inachukua muda sanaaa.... inaweza chukua hata nusu saa kuingiza 5% ...