Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu nimeagiza item through eBay ila umedelay kufika Baada ya kumuuliza Seller kanambia nimpatie Tax ID number Sina Idea ni namba gani anayohitaji. msaada tafadhali kwa hili. shukrani.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kuuliza ukitumia modern ambayo tayari ikiwa unlocked ufanisi wake nisawa tu na ile ya kawaida? Au uwezo hupungua baada ya Ku unlock. Naomba uzoefu wakuu.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habar wakuu natumai mko poa naomba msaada compressor ya frezzer kubwa la Samsung ni bei gan ati?
0 Reactions
2 Replies
922 Views
maintenance repair and installation photocopy,printer,computer,fax,lamination machine and printer contact:0712376969 email. issamadende@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Habari za leo ndugu wana Jf naombeni msaada jinsi ya kuroot samsung galaxy gt 7392 maana sasa nimechemka nimejaribu kuroot kwa kutumia vroot, root master na kingo root lakini zote zimekataa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu nimepata majanga nimekalia na kuvunja koo cha simu nilikuwa naomba anaejua anijuze kioo cha sumsung note 4 bei gan au kama naweza kupata kioo cha mipango
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wadau humu jamvini. Kuna mdau mmoja nimemtembelea na nikakuta ana hiii kitu na anadai ni bora sana mpaka kaipiga kapuni receiver ya strong.. Naombeni maoni yenu je hiii kitu ni Kali kihivyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hi jf experts,anyone who knows how to load ms word with mathtype utility installed in web browser i need to implement it in drupal site think of writing the php scripts which automate the...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Natarajia kuagiza gari wakati wowote kuanzia jumatatu ya wiki ijayo sasa kwa mwenye kufahamu website gani nzuri na bei zao sio mbaya sana ambao naweza kuwatumia kuagiza? Na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wataalamu, natumai mnaendelea vizuri sana katika kipindi hiki ambapo yamebaki masaa machache kuweza kuanza kwa sheria mpya ya makosa ya jinai ya mtandaoni. Ningependa kuelekea kwenye...
0 Reactions
2 Replies
880 Views
Habari Naomba mnisaidie product keys za Time watches software inayotumika katika internet cafe ama kama kuna altenative software naomba nijuze!!
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Nina nokia Asha 201 inapoteza network, nimerestor factor bdo inarud kwenye hali ile ile Msaada jaman nn cha Ukiangalia ndo simu ninayotumia
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Mimi kila siku asubuhi napenda kusikiliza BBC swahil muda wa saa 12.00. Leo nimeshangaa simu inaonyesha tayari saa 12 lakini program haianzi. Nikasubiri ilipofika saa 12.05 nikasikia ndio BBC...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Wangwana,Habari za majukumu ya kila siku.. Naomba msaada wenu wa jinsi ya kufanya ili kuunganisha Flat Screen na Home theatre niweze kuona picha,Kwa sababu ninaunganisha ila kweny Screen ya TV...
0 Reactions
26 Replies
13K Views
Ndugu zangu kwa anaefaham mordem nzuri kabisa kwa matumizi ya internet anijuze ninunue moderm ipi.
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwani amezileta yey sio mitandao yao? mpaka anaitwa mr mb8?
0 Reactions
3 Replies
789 Views
habari zenu ma gr8 thnkerz., naomben msaada wa wapi ntapata mafundi wazuri wa blackberry kwa hapa Dar au Mbeya .. naogopa kuwapelekea hawa mafund wa nokia vitoch
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habari. naomba ushauri wa kitaalamu juu ya kununua laptop nzuri hasa kwa ajili ya masomo. hasa kwenye specifications na sehemu gani kwa kununulia. kwa bei ya kama laki nne. natanguliza shukurani
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Salama wakuu! simu yangu ni HUAWEI ASCEND G510. Nimekuwa nikipata hyo sms ya kustop kwa programs unfortunately mfululizo,mara google,home page,nk. nimereset haijakubali, nimepeleka kwa mafund...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
wadau baada ya pita pita zangu na ufuatiliaji wa ni vipi zile torch za trafic zinafanya kazi na ni vipi au njia gani waweza ifanya ili kujikinga nayo nikakutana na hizi njiabkutokana kwa madereva...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Back
Top Bottom