King'amuzi

King'amuzi

Sam pizzo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
910
Reaction score
625
Wakuu habari za cku mingi, naomba msaada nifanyaje kuhusu itv imekua locked katka king'amuzi cha startimes
 
sasa bila kusema imekuwa locked ki vipi, utasaidiwa vipi? je ni itv pekee yake tu, au na station nyingine? umekinunua kwa mtu, au ni nani hasa aliyeifunga? tuanzie kwanza hapo.
 
Itv peke yake na inahitaji namba ya siri ku unlock
 
Back
Top Bottom