Msaada wa mafundi iphone yangu imepasuka kioo.

apologize

JF-Expert Member
Jul 22, 2015
710
568
habari wanajf. mm npo tegeta na nimgen kdogo wa maeneo, nina iphone yangu imepasuka kioo naomb mnisaidie kwa mtu anayejua fundi mzur na gharama zikoje za kurekebisha.
 
Kuna jamaa yangu kashanitengenezea ya kwangu ka mara 3 hv, laki moja ishirini, inakuwa nzima tena, jamaa yuko posta
 
Back
Top Bottom