Msaada: PC yangu Wi-Fi haiwaki

Msaada: PC yangu Wi-Fi haiwaki

richnigga

Member
Joined
Dec 25, 2014
Posts
84
Reaction score
59
Naombeni msaada wenu wadauu!!

PC yangu inasumbua ku turn on wireless connection, inaonesha tu wi-fi (off).. nikijaribu kuiclik ili iwe on inashindikana.. sijajua tatizo ni nin au nifanyanje ili niweze kutumia wireless.

Kwenye airplane mode inapiga kazi flesh.. yan naweza nikturn on and of vizur tuu.

Msaada wenu wakuuu...
 
Attachments

  • 1441876304826.jpg
    1441876304826.jpg
    52 KB · Views: 117
  • 1441876331790.jpg
    1441876331790.jpg
    29.8 KB · Views: 101
hakuna tatizo hapo kwenye icon tatizo hujawasha hapo, tafuta kifaa cha kuwashia, ama uswitch on ukishe kipo pembeni au mbele ya keyboard

chunguza pc yako pembeni usawa wa port au mbele ya hizo functions keys
 
Thanx vry much mkuu... umenifanikishia kutatua hili tatizo. UMETISHA SANA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom