LIKATUKATU
Member
- Aug 24, 2015
- 25
- 0
mi siomtaalam sana wa haya mambo. naitaj kununua cm lakin cjajua hip n bora kulingana na chaguo langu kati tecno h6 na huawei y600 n hip ninunue?.napenda kukarbixha maon yenu wataalam.
Msaada tecno h6 inazingua camera haifunction
Zote vimeo, kama mfuko hauruhusu chukua samsung kama iphone huiwez, kama huwezi vyote ni bora ukatumia torch tu mazee
hiyo samsung ni bei gan?
mi siomtaalam sana wa haya mambo. naitaj kununua cm lakin cjajua hip n bora kulingana na chaguo langu kati tecno h6 na huawei y600 n hip ninunue?.napenda kukarbixha maon yenu wataalam.
mi siomtaalam sana wa haya mambo. naitaj kununua cm lakin cjajua hip n bora kulingana na chaguo langu kati tecno h6 na huawei y600 n hip ninunue?.napenda kukarbixha maon yenu wataalam.
usije linganisha tecno na huawei..
achana na hizo tecno na ndo simu zinazoongoza kwa kutaka misaada ya kiufundi humu jf.
binafsi sikushaur kutumia tecno ya aina yoyote.