Desktop power supply

Desktop power supply

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
2,545
Reaction score
3,370
Anayefahamu wap naweza pata power supply ya desktop 24pin 500W au 450W iwe na 6 pin connector kwa ajili ya ku power Graphics card, tujuzane.
 
Anayefahamu wap naweza pata power supply ya desktop ya 500W au 450W iwe na 6 pin connector kwa ajili ya ku power Graphics card, tujuzane.


Ukibahatika kupata Corsair Power supply itakuwa vizuri zaidi, mi haijawahi niangusha, Corsair 1000wt PSU.
na PC nzima imejaa devices za Corsair.
 
Ukibahatika kupata Corsair Power supply itakuwa vizuri zaidi, mi haijawahi niangusha, Corsair 1000wt PSU.
na PC nzima imejaa devices za Corsair.

Wapi zapatikana?
 
Wapi zapatikana?

Sijajua bado kwa Bongo/Tz zinapatikana wapi, ila inawezekana zipo.
Utakapoambiwa na wengine unaeza ulizia kama zipo, mi sikuchukulia hapa.
 
Back
Top Bottom