Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 238
Wadau naweza ku delete kabisa account yang ya Facebook na isionekane kabisa? Naomben msaada pls
Wadau naweza ku delete kabisa account yang ya Facebook na isionekane kabisa? Naomben msaada pls
Ndyo inawezekana mkuu
Yeah, unaweza kbs mkuu
Yeah, unaweza kbs mkuu
Nitumie email pasward niifunge ndani ya daki 2 bure!
Umechukia jambazi
Kwanini nichukie mada kama hii ilishajadiliwa hapa sema mnakuwa wavivu kuzitafuta ndiyo maana hapo nimekupa jibu sahihi kwa mijitu mivivu kama wewe! and not otherwise
Hapo sidhani km inawezekana, nilijaribu ku delete a/c yangu mwaka 2012 november lakini nilishndwa. Hukohuko kwenye setting profile kuna neno delete lakin kwangu ilinigomea. Ila ku-block inakubali kinachoboa ni kwamba email za fb zinakuja km kawaida kwenye email a/c yangu, mara fulan anataka kukuona, mara fulan kapost picha nenda unblock kuziona picha, vi email vya kijinga jinga tu!. Cha msing nakushaur block a/c yako usirud tena fb kuangalia angalia knachoendelea
Mimi siyo mvivu kama wewe. Jamaa kaomba msaa how to delete his FB account na ndyo nikamueleza nikamueleza. Wewe umekopy vitu vya watu na kulete hapa na kusema eti huwezi ku delete account kbs unajua maaba ya" deactivate" . Acha fikra za kijambazi.
We jamaa kweli mgumu kuelewa dah! unataka tujadili nn wakati tayari nimesha mpa link ambazo zitakazo msaidia kuifuta hyo ac? maelezo uliyo yatoa hapo hataweza kufanikiwa kuifuta hyo ac we kichwa ngumu
Nitumie email pasward niifunge ndani ya daki 2 bure!