Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 684 Reaction score 201 Sep 11, 2015 #1 Wadau naomba maelekezo ya kubadili internal storage kwenda sd card ktk simu tajwa hapo juu
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 684 Reaction score 201 Sep 11, 2015 Thread starter #2 Hakuna msaada!
Sir jj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 320 Reaction score 144 Sep 11, 2015 #3 Nenda sehemu ya setting kisha storage,ukifika hapo najua hutakosea.Japo sijajua ni Tecno ipi ila jaribu kwanza hapo.
Nenda sehemu ya setting kisha storage,ukifika hapo najua hutakosea.Japo sijajua ni Tecno ipi ila jaribu kwanza hapo.
Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 684 Reaction score 201 Sep 12, 2015 Thread starter #4 Tecno y6