Kutumia Namba Ya Uk Nkiwa Tz

Kutumia Namba Ya Uk Nkiwa Tz

mt.j

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2014
Posts
284
Reaction score
282
Habar Wakuu, Kuna Rafik Zangu Nawaona Wananipgia Simu Wakiwa Hapa Tz Kwa Kupitia Namb Za Nje Na Hawajawah Kwenda Huko
Mara Nyingine Haiji Namba Inakuja Jina Tu Hata Kama Ni Kwenye nokia Toch Lakina Hailet Namba Je Maufundi Gani Yanakuwa Yamechezwa Hapa
 
Thanx #Mkwawa Tofaut Na Watsap Hamna Njia Nyingine Labda Ya Kulipia Namb Hzo Online Ikawa Na Credit? Kuna Ka Site Kanaitwa Uk Free Number Wao Wana Had Hudum Ya Kupga Nilishndwa Kuwaelewa Coz Nahis Mfumo Wao Ni Kama Wa Ku Divet .
 
Kama unahitaj namba ya us[+1] tembelea website ya voxox..ila kama unahitaj namba ya uk [+44] tembelea website ya uknumbers.com
 
Back
Top Bottom