Wataalamu wa umeme

Wataalamu wa umeme

Technian Tanga

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
411
Reaction score
200
Habari wadau wa tech forum naomba maelezo ya namna ya kufunga change over switch via contactor ya three phase nina vyazo viwili tanesco na genset na viunga vipi ktk contact ili iwe ina jiturn on and off auto na je nahitaji contactors ngapi kama kuna mtu mwenye control diagram anaweza ntumia
 
Genereta lipi . kama ni genereta kubwa hapo ni sawa. Kuna change over switch zake automatic. Ikisense hakuna umeme inawaka. Sogea kwenye mnara wowote jirani yako.
 
Back
Top Bottom