Msaada:Memory card imejilock baada ya kufanya Factory reset.

Msaada:Memory card imejilock baada ya kufanya Factory reset.

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
729
Naomba msaada wa mawazo kwa anayejua ufumbuzi wa tatizo langu ni kwamba nilifanya factory reset ya sim yangu ila cha kushangaza memory card imejiwekea password
Naomba ushauri kwa anayejua
 
Tafta simu ya nokia e series alafu uformat...password cannot be removed except by formatting using nokia symbian 60 phones
 
zipo tool za kujua memory card password ila ni kwa nokia
 
Naomba msaada wa mawazo kwa anayejua ufumbuzi wa tatizo langu ni kwamba nilifanya factory reset ya sim yangu ila cha kushangaza memory card imejiwekea password
Naomba ushauri kwa anayejua

tafuta E seriz nokia itatoa kwa urahisi tu.
 
Back
Top Bottom