Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habarini wadau, Natumia simu ya kawaida ya Samsung Gallaxy Trend S7580,system yake ni ya android. Kuna mtu ananisumbua sana na nimeadd number yake as a Spam number ila bado akituma msg...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
nahitaji Cranked link ya ku install either Ogwhatsapp,WhatFapp,Gbwhatsapp link ninazopata tayar hzi version ziko expired nahitaji latest one ambayo itakuwa valid...Thanks
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari nzhitaji funguo za kuchongesha nimepoteza funguo zangu
0 Reactions
2 Replies
4K Views
bei ya processor hp 650 msaada tutani mwenye kufahamu bei tafadhali
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Niaje wakuu..nimeona nije na hii topic ila ni mawazo yangu kama una lakuongeza karibu au nimekosea mahali tuambiane.. Kwa kawaida kibongo bongo bloggers wengi tunategemea sana matangazo ya google...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jf wenzangu! Naombeni msaada ninatumia cm aina ya lg lakini nashangaa tangia Jana nikizima data inajiwasha yenyewe pamoja na Wi-Fi zinawaka kwa pamoja alafu Mara kuna matangazo ya apps...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mimi nilidownload game LA mission impossible salsa nilidownload apk INA mob 11 name nikadowload data zile zip sehemu nyingine salsa nataka kuzichanganya natumia Samsung note 3
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana JF, kuna jmaa yangu flani anafanya biashara za vifaa vya electronics vilivyotumika maarufu kama used, juzi nilipita nikakuta kaingiza mzigo mpya katika kuchagua nikakutana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nafikiria kutengeneza kifaa kitakachoweza kuzima gari remotely kwa ajili ya ulinzi ila project yangu nahisi nitafanikiwa kwani mimi ni fundi mzuri wa umeme wa magari, vitu nitakavyotumia ni kama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
With the huge supermoon lunar eclipse just one week away, it's time to dust off your small telescopes and binoculars, track down an observatory event or webcast, or draft your invitations for a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu natumai mwaendelea vizuri, naombn msaada wa cm yang camera haifanyi kaz inaandika ( cant connect to the camera) mxaada wandugu
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tech Support Salaries of mid-career level IT staff around the world. 2015 Salary $2014 Salary $ This study does not take into account purchasing power parity...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Anayejua bei ya screen ya laptop aina ya lenovo, spika na betry anijuze....
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu za mida. Back to point nataka kununua external speakers za laptop yangu aina ya Hp nienjoy mziki na movies Nikiwa bedroom kwangu. So aina gani ni poa na bei yake ni sh ngapi. Quality &...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu naomba kusaidiwa njia ya kureset simu ya samsumg inajiwasha data,inastak na kuchemka natanguliza shukran.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wataalamu wa technology ni application gani ntakayoipata playstore ambayo itanisaidia kuficha msg na simu mama watoto asizione hata nkiwa nae karibu.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
wakuu nina iphone 4 ambayo iko lioked kwa mitandao ya canada naomba msaada wa site ambayo itaweza kuunlock online ila ni kwa pesa
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Wanajamvi, Ni matumaini yangu kwamba katika jukwaa la JF Kuna wataalam mbalimbali WA Ujenzi. ...watupe mbinu jinsi ya kujenga Nyumba na kuwa na emergence exit, lakini swala Zima la security. Hapa...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Back
Top Bottom