SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Habari zenu wadau.
Naomba kueleweshwa namna ya kufuta (delete) text msgs nilizoandika whatsapp
kwa kutumia smartphone yangu. Nimeitafuta sana hiyo option ya delete
bila mafanikio.Kinachoniogopesha ni utundu wa watoto wangu pindi watakapozikuta
hizo msgs maana zina siri za familia zinazowahusu hao watoto.
Naomba msaada wa jinsi ya kuzidelete