Masterproud
JF-Expert Member
- Sep 14, 2012
- 441
- 119
Habari wandugu. Jamani nimeanzisha stationery na studio ya picha. sasa naombeni msaada zaidi kuhusu mashine nzuri ya kusafishia picha za ukubwa hadi A4 pamoja na passport. Je ni aina gani nzuri zaidi lakini cheap ungenishauri kununua? Bei ni kiasi gani? Inatumia wino gani? je ipo economical kwenye wino? inapatikana wapi? Asanteni sn.