Wataalam wa TECHNOLOGY naomba msaada wenu katika hili.

Chimemena

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,376
452
Laptop yangu inanisumbua kidogo na nimeshindwa kupata suluhisho mpaka sasa naombeni msaada wenu Wataalamu wa Technology, Gadgets & Science (kama nitakvyoeleza hapo chini na kauambatanisha picha).

Mimi sio mtaalam sana kwa program za COMPUTER ila jana nilichomeka flash ili niweze kuhamisha baadhi ya nyaraka toka kwenye Laptop lakini ikagoma kusoma, nilipoilazimisha sana nikajikuta nimebofya sehemu bila kutarajia matokeo yake baadhi ya FILE, DOCUMENT na PROGRAM zikabadilika toka hali yake ya kwenda MS OFFICE WORD 2007 (tazama picha) sasa sijui ile flash ilikuwa na virus am laa.

DSC05149.JPG

Kila nikiwasha LAPTOP na kufungua file ama program husika linajifungua na namna ya Ms Office Word 2007 na sioni chochote toka kwenye file husika tofauti na zamani.

DSC05145.JPG
Wataalam naombeni msaada wenu katika tatizo hili ili laptop iwe inafunguka kama zamani tofauti na inavyofanya sasa.

DSC05147.JPG
Natanguliza shukrani.
 
Kwa mfano nikibofya kwenye Google Chrome ama Mozilla Firefoxy inafunguka kwa jinsi hii.
DSC05146.JPG
 
View attachment 288463

Kila nikiwasha LAPTOP na kufungua file ama program husika linajifungua na namna ya Ms Office Word 2007 na sioni chochote toka kwenye file husika tofauti na zamani.

View attachment 288458
Wataalam naombeni msaada wenu katika tatizo hili ili laptop iwe inafunguka kama zamani tofauti na inavyofanya sasa.

View attachment 288464
Natanguliza shukrani.

Nimesoma computer engineering and information technology pale chuo kikuu cha mwalimu nyelele aka udsm, tatizo dogo sana ilo mzee wangu ni pm
 
Kwa mfano nikibofya kwenye Google Chrome ama Mozilla Firefoxy inafunguka kwa jinsi hii.
View attachment 288466

1.Nenda kweny Start Menu
2.Type regedit in search box
3. Navigate to HKEY_CURRENT_USER\Software
\Microsoft\Windows\CurrentVersion\Explorer
\FileExts\
4. Look for .lnk extension
5. Delete .lnk key or delete the userchioce key
6.Your done hapo Reboot mashine yako tu.
 
Mkuu!
Nimefanya hatua ya 1 na ya 2 ikatokea vile vile kama nilivyoeleza awali, sikona mahalapakuendelezea hatua ya 3,4,5na ya 6. Naomba niwekee ama nifafanulie vizuri namna ya kufanya.

View attachment 288556
 
Mi nilichoelewa hapo umeiweka ms word kama default program ndio maana hata ukifungua mozilla inafungukia kwenye ms word, na hizo icons hapo kwenye desktop naona umekopi mafile kama shortcut ndio maana hayawezi kufunguka, sijui kama nimeelewa sivyo, maana kabla ya kupata soln ni muhimu kuelewa tatizo
 
Hapana mkuu sijaweka ms word kama default program na hata kama tatizolingekuwa hilo tu ningeweza kuibadilisha tu ila nimeshangaa kuhusu hili tatizo mpaka sasa sijapata suluhisho.
 
Mkuu!
Nimefanya hatua ya 1 na ya 2 ikatokea vile vile kama nilivyoeleza awali, sikona mahalapakuendelezea hatua ya 3,4,5na ya 6. Naomba niwekee ama nifafanulie vizuri namna ya kufanya.

View attachment 288556

Mkuu ukishafungua angalia kushoto kwenye hizo folder utaliona hilo lililoandikwa HKEY_CURRENT_USER lina alama ya + mwanzoni click hiyo + litajiopen utaona folder ya Software nalo lina + mwanzoni endelea hivyo hivyo hadi mwisho,fata hizo steps.
 
Wakuu ahsanteni sana wote kwa msaada wenu na michango yenu hatimaye nimepata suluhisho baada ya kubofya na kurun link hii http://download.microsoft.com/downlo...Fixit50194.msi niliyopewa na ndugu @khalfan56 ikanicommand kurestart computer the ilipokuja kujiwasha mambo yakawa mulua kamainavyoonekana kwenye picha.

DSC05151.JPG

DSC05153.JPG
Nashukuru sana!

NB: Ila naona pia machine inakuwa nzito (slow) kufungua tofauti na zamani.
 
Back
Top Bottom