Nokia Lumia 800 inanisumbua kujiunga kifurushi, inaandika "Session terminated"

Mussa waukweli.

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
534
316
Hi wana jf naomba msaada wenu tafadhari
Niko na simu yangu nokia lumia 800 lakini kila nikitaka kujiunga vifurushi inaniandikia "Session Terminated" msaada jinsi ya kuondoa tatizo.
 
Hyo ni windows 7.5 upgradable to 7.8 kwa kifupi windows 7 hazikubali ussd na ziko models tano lumia 510,610,710,800 na 900 na hakuna jinsi yeyote unaweza fanya ikakubali. Kama unapenda windows phone tafuta windows8 tatizo la ussd halipo. Nikutajie windows8 chache lumia 520,620,720,820,920,930,1020,1320,1520 na hz mpya za microsoft 435,535,640, na zingine nyingi
 
Back
Top Bottom