Namna ya kupata majina ya simu katika email nitumiapo iphone

Namna ya kupata majina ya simu katika email nitumiapo iphone

nabiimweusi

Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
74
Reaction score
28
Wananzengo nimebadili simu from samsung android to iphone ios, sasa phonebook niliisave katika email, sasa nawezaje kuingiza ile email ili kupata yale majina?
 
Back
Top Bottom