Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Scenario 1 Katika computer mbili ya kwanza dell mini yenye intel atom ina run windows 8 na ya pili toshiba satellite A 110-133 .version ya zaman kidogo ina intel celeron ina run wondows 7...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Namtafuta fundi wa kutengeneza tuner za gitaa. 0769419799: Dar es salaam
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mara nyingi nimekutana na mada iliyochanganywa/zilizochanganywa hapa JF. Nikikutana na mada iliyochanganywa na mimi nataka nisome ile ile peke yake naipataje? Natanguliza shukrani kwenu.
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Za mda huu ma professinal ni mda sasa najaribu kutembele TPB lakini sipati kitu kwenye mashine yangu naona no responce kila nikijaribu hakuna kitu anayefahamu anijuze.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Naoamba msaada wa jinsi ya ku bypass facebook phone verification
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kujua bei na wapi nitaweza kupata kioo cha sony bravia tv 32
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Blog badala ya kusomeka chekasasa.blogspot.com yenyewe baada ya kuingia inasomeka chekasasa.blogspot.co.ke Msaada wadau..
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Microsoft windows pamoja na Linux wana technology ya ad-hoc ambayo inakuja na operating system inayo kuruhusu ku sambaza wifi kwa kutumia wireless card ya laptop au desktop PC. Tatizo likaja ya...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu juzi kati kwenye m3 yangu niliinstall avast antivirus ila baada ya kuona inazingua nikaitoa. Sijajua kama ndo ilichangia lakini contacts zangu zoote zikafutika zikabaki za kwenye sim1&2...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ntajuaje kama external ambayo ninayo ni original
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mwenye funguo halali za hiyo kitu tuwasiliane nahitaji haraka.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nina simu imetoka nje nokia 6600f haisomi laini yoyote inataka restruction code Chief-Mkwawa Mwl.RCT
0 Reactions
0 Replies
621 Views
7.8 inches, 5.0mp Camera, Latest Android 4.4 OS, 8GB space, inapiga simu. Unaweza install program zote za android kama whatsApp, n.k. Bei 400,000/= Tzs. Contacts: 0767 663 951, 0674 338 033...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
natanguliza shukrani wakuu kama hii trick inawezekana basi tupeane maujanja maana nahisi kunaweza kukawa na improvement ya speed katika internet.
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Naombeni msaada wakuu, toka niwe na hiki kingamuzi leo nikaamua nichomeke flash ili nijaribu kurekodi lkn flash kama mbili zimekataa kusoma. Naombeni msaada ni jinsi gani nifanye ili niweze...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wandugu? Nina bussness idea kuhusu kufungua internet cafe' & PC games center. Moja ya mahitaji ni vifaa hivi, katika utendaji wa kazi na umuhimu wake. Network Switch, Router na Hub ni...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni Lenovo, windows 7, 32 bit. Ilikuwa inafanya kazi kama kawaida nikiunganisha simu yangu na laptop kupitia wifi. Natumia simu kama hotspot. Lakini ghafla wiki iliyopita nikakuta inagoma kudetect...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu wengi naona tunakosea kutag jina kwenye mtandao wa facebook mimi binafsi nikiwepo nimejitahidi sana lakini haitokei tunaambiwa unaanza na @ alafu jina lakini inatokea hiyo alama na majina...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Jaman mm nilitaka kufahamu je ukiibiwa simu aina ya smartphone je? pattern zinaweza kukusaidia mtu asifanikiwe kutumia zile program ulizo install kama Whatssap,Twitter,Facebook Instagram n.k na je...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
mim ilikuwa ivi, nilikutana na i phone 4 ikiwa ndan ya boksi mpyaa inauzwa lak 2 na 50 na bahant nzur nilikuwa nayo nkaikagua pale kwa mbwembwe nkalipa haraka harak nkasepa ....kufika home...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom