Naomba msaada namba yangu ya tigo nimejiunga na whatsapp, lakini kuna mtu kwa sasa naye anaitumia na kwangu imefungwa kabisa, inasema inatumiwa na simu nyingine. Mbaya zaidi anaitumiwa kwa...
Simu yangu no techno Y3 ...ina tatizo limeanza lina siku tatu...nikifungua data kuperuz Jf...fb au Google....katika screen kunatokea kama tangazo linalosema simu INA virus au simu inaanza kufungua...
Habar Wana Jf Kwa Anaefahamu Tatizo Kama Hili Huwa Nin Hitimisho Lake Nina Simu Yangu Haisomi Mitando Inakuwa Emergency Call Muda Wote Hil Tatizo Halikuanza Muda Kwan Zaman Ilikuwa Haisumbui...
Habarini wakuu,
Mimi ni mtumiaji wa simu tajwa hapo juu. Tatizo ni kwamba siku za karibuni simu yangu imekuwa slow sana, inastuck mara kwa mara, pia muda fulan ukifungua baadh ya apps inasema app...
Tablet yangu inatabia ya kuji format yenyewe mara ya pili inanitokea, inaniuma sana data zangu kufutika na sizipati tena. Kwa anayejuwa kama Kuna program maalumu itakayoweza kunisaidi kurejesha...
habari.....
wakuu laptop yangu..niliifanyia disc clean up...kutokana na low space....sasa ina wiki nikiiwasha inaandika QJDPS is compressed nimejaribu hata kupiga window imekataa tatizo itakuwa...
Hamjambo!
Rejea kichwa cha habari hapo juu, napenda kujua kama kunauwezekano wa kutuma UJUMBE WA FARAGHA {private message} kwa kutumia akaunti yangu ya humu jamiiforums kwenda kwa mtu mwingine wa...
Habarini zenu wanajukwaa,Mimi ni FUNDI VISIMBUZI baadhi km dstv,zuku,STARTIMES n.k,nmekumbana na changamoto juzi na Jana katka kufunga STARTIMES ya dish yenye decorder nyeusi hizi awali nmewah...
Wana jamvi nina simu mpya ya TECNO C8 kila nikifunika kioo kwa cover yake baada ya Muda inaleta ujumbe wa '' don't cover top screen,,
Wana jamvi kwa walewataaalam hii inaweza kuwa inasababishwa...
Habarini za asubuhi wajuvi.
Ninaombeni msaada kabla sijafikiria kumuona fundi.
Kitarakilishi(computer) tajwa kina matatizo mawili:
1) Nikiiwasha kawaida haiwaki lakini nikitoa CMOS betri...
Habari wakuu?
Nimetumiwa ramani ya nyumba lakini imetumwa kwa format ya .php ambayo kila nikijaribu kuiprint inagoma.
Naomba msaada kuelekezwa namna ya kufanya ili niweze kuiprint.
cc...
Tarehe Moja October 2015 nilinunua Radio ya Gari ambapo gharama yake pamoja na kutuma ni USD 146.98 Kupitia Ebay na bahati nzuri imetumwa na Leo nimepigiwa simu na DHL kufahamishwa juu ya mzigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.