Walio wahi kukamatika na simu fake\copy

Walio wahi kukamatika na simu fake\copy

mt.j

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2014
Posts
284
Reaction score
282
mim ilikuwa ivi, nilikutana na i phone 4 ikiwa ndan ya boksi mpyaa inauzwa lak 2 na 50 na bahant nzur nilikuwa nayo nkaikagua pale kwa mbwembwe nkalipa haraka harak nkasepa ....kufika home kuangalia internal memory kitu kna soma kb .qwality ya kioon n kama kna maziwa iv sio bkack nkiingia fb kitu chafu nkienda kweny net naambie memory not enough nilichoka.hela ikawa imeenda ivo.
wapo weng wamekamatika sana.
haya ni mamb ya kuangalia kabla ya kuchukua simu mpya
1.internal memory
2.qwality ya camera
3.Unapo washa copy hulet jina jngine mfano kama simu n htc ama sumsung itakuandkia androil,ama jina la ajbu ajbu t
4.huwa na vioo vye qwality ndogo
ZINGINE WENYE UJUZI WATAONGEZEA kulingana na uzoefu wa aina ya simu
 
uko mkoa gan
 
Hayo unayoyasema yanashangaza. Nikitambo sana watu walikua wananunua simu kama hio.

Ni kwel kabisa hata m naongelea wakat wa nyuma hasa 2013 nilp jichanganya! lakin had leo hi kuna ndugu zetu wanakamatika sana
 
Mkuu inaelekea jambo hilo unalikumbuka mno. Pia linakuchoma moyoni...... Hiyo inaitwa KARIBU MJINI.
 
nimekuwa nkiona kwenye jukwaa la matangazo mtu anaandika anauza copy ya samsung na bado wat wananunua
pia kuna mdau humu alisha wah kuulizia internal memory ya i phone 6 jibu rahs alilo lipata ile ilikuwa fake maana ilikuwa na gb ndogo. sio wote wanao weza kutambua org na copy
 
nalikumbuka sana mkuu na jana nimekutana na mdada kajichanganya kweny htc one copy kapgwa laki 7 kitu kipya tko kwenye gar anaomb nimsaidie kumuunga insta .ile nazma simu kuwasha ikaleta android na maua maua badala ya log ya htc .sm ilikuwa inaonesh 16gb ila hata kuingia play store inagoma inaandka not enough memory niliumia sababu amelizwa pesa ming
 
kwahy nw unajua kutambua simu feki?
samsung galaxy o htc ikiwa original inakuwaje n ikiwa feki inakuwaj?
 
naweza itambua japo kwa asilimia 90 heb we tupe huo utaalamu wako wa kuijua h n fek na og coz kuna copy nyingne kuitambua n ngum
 
Mi iphone nilinunua bar, wale wanaopitisha laki na nusu, nilitumia siku 3 tu, ikaziama mpaka leo.
 
nalikumbuka sana mkuu na jana nimekutana na mdada kajichanganya kweny htc one copy kapgwa laki 7 kitu kipya tko kwenye gar anaomb nimsaidie kumuunga insta .ile nazma simu kuwasha ikaleta android na maua maua badala ya log ya htc .sm ilikuwa inaonesh 16gb ila hata kuingia play store inagoma inaandka not enough memory niliumia sababu amelizwa pesa ming

Inahitaji Ushujaa mno kumfanya yeye akuamimi. Watu kama hao literally wanakuwa wabishi mno. Namshukuru mungu.... Sijawahi na sitowahi kuuziwa clone ,otherwise niipende.
 
yan ukitaka kuona ugomvi mwambie hyo kitu n clone hapata kalika
 
pia kumbukeni kupata waranti na duka unalonunua liwe linajulikana
 
Hivi kuna simu za Windows fake?? Naomba ufafanuzi tafadhali.Cc; chiefmkwawa
 
Last edited by a moderator:
Duuuuh nilishapigwa note 3 copy.... Hii thread umenikumbusha machungu.....
 
Kwa wanao zifahamu huawei G610 nilipendezwa sana ni hiyo simu lkn nilipigwa ilikuwa ni copy haina 3G. Lakini maelezo yanasema ina 3G nikarudisha dukani kwakuwa nilikuwa na resit jamaa akanibadilishia orginal yake ikawa ni pana kidogo na tofauti nyingi nilizigundua. Lkn ilikuwa ukiziangalia kwa haraka haraka huwezi ukazigundua.
 
Duuuuh nilishapigwa note 3 copy.... Hii thread umenikumbusha machungu.....

laki ngap zilienda ? unakumbuka ulvo furah kuipata, cku unaambiwa n fake ilikuaj
 
Back
Top Bottom