donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Wakuu juzi kati kwenye m3 yangu niliinstall avast antivirus ila baada ya kuona inazingua nikaitoa. Sijajua kama ndo ilichangia lakini contacts zangu zoote zikafutika zikabaki za kwenye sim1&2 pekee. Google contacts zote haxipo nikajaribu kufanya hard reset ila wapi. Nikajaribu pia kutoa existing gmail a/c nakuirudishia but still sijafanikiwa. Naomba msaada wakuu niwezekuretreave contacts zangu its very critical!