Scenario 1:
Katika computer mbili ya kwanza dell mini yenye intel atom ina run windows 8 na ya pili toshiba satellite version ya zaman kidogo ina intel celeron ina run windows 7 ultimate, zote 32...
Wanaukumbi,
Matumizi ya mtandao yanategemea sana browsers. Binafsi nimezoea kuzikia browsers kama Firefox, Safari, Chrome, Internet explorer nk.
Nimetonywa kuwepo browser ya Warusi kwa jina la...
Habari wakubwa wa tech,
Kwa wazoefu au waliowahi kutumia projector kuonyeshea mipira na shughuli zingine, napenda kufahamu ustahimili wa vifaa hivi katika shughuli tajwa hapo juu, katika...
Naomba wakuu kwa anayejua program ya kuconvert file zilizo kwenye form ya MKV kuzipeleka kwenye form nyingine kwani natumia Format factory but inafail kubadili video zilizo kwenye MKV form.
Heshima kwenu wana jukwaa la technolojia! Naomben mawazo yenu ya kitaalam tafadhali! Nina computer yangu ambayo ni desktop hp inakata screen yaan kipande inaonyesha na kipande kingine hakionyeshi...
Wakuu niliinstall mobizen with no root na narecord vizuri video zinaonekana lakini nikitaka kuziplay zinanitaka option ya player kama ilivo kwa video nyingine kwenye simu yangu TECNO P5 nina VLC...
Kuna app nyingi hazipo kwenye playstore kwa mfano videoder, mobogine, ambazo unazikuta kule playastore mara nyingi zinakuwa ni za uongo
Ukitaka kuzipata zile app kwa urahisi lazima uingie...
Wadau, nashindwa kuzipa majina mapya baadhi ya links ambazo nataka zisome ninavyotaka mimi. nimeona sehemu fulani hapa mtu ame attach link lakini ameandika anavyoona yeye jina la link (heading)...
Wadau,
Juzi nimenunua simu ya Sony v10, yenyewe hata pale juu inaonyesha tu 4G hivyo hata nikiweka bundle na kuconnect Internet sipati kitu, mtu mmoja aliniambia kuwa ni lazima niwasiliane na...
Habari wana JF,
Naomba mwenye solution ya hii kitu ya apps ku stop na kuandika kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.
Apps zenyewe ni
Adobe air
Measure
Android systeam
Com.android....
Na nyingine...
Wadau wa jukwaa habari zenu.
Nina pc yangu ya hp 630 ina gb 500 .Niliinunua mwaka 2012 .
Sasa hii pc ilikuwa na rangi ya silver na kadri ya muda ulivyozidi kwenda rangi ikaanza kubanduka ama...
nina cm yangu aina ya LG G2 ina ji dowload application yenyewe na pia inazima na kujiwasha nimejaribu kui restore lakin tatizo bado lilo pale pale hivyo naomben ushaur jaman nitumie mbinu gan ili...
Kuna laptop used nimeinunua 'dell precision' ina tatizo ambalo sijawahi kukutana nalo, ukiiweka kwenye chaji inachaji chaji inaingia polepole sana, yaani unaweza ukaspend masaa manne ikaingiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.