Msaada: Anayejua jinsi ya ku bypass facebook phone verification

LILONGO

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
520
Reaction score
321
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Naoamba msaada wa jinsi ya ku bypass facebook phone verification
 
unataka uchakachue account za watu? facebook wapo vizuri mkuu.
tafuta njia nyingine.
 
haaaaa kama unataka kuchakachua kwenye fb umekwama ndugu

Wakuu, shida ni kuwa katika harakati za kutafuta pesa kwa njia ya facebook, niki post sana inaniletea phone verification

I need help
 
weka namba upokee txt yao yenye verification code kazi inaisha labda sijaelewa.
 
I havee tried that bro.Ila number itatumika si zaidi ya mara mbili....

I need a longterm strategy.Siwezi kuwa nasajili na kuweka namba tofauti kila siku
 
Back
Top Bottom