CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,827
- 1,862
Ni Lenovo, windows 7, 32 bit. Ilikuwa inafanya kazi kama kawaida nikiunganisha simu yangu na laptop kupitia wifi. Natumia simu kama hotspot. Lakini ghafla wiki iliyopita nikakuta inagoma kudetect hotspot na pia kale ka wifi logo kanakowaka ikiwa on hakawaki tena. Naomba msaada tafadhali.