Naomba elimu kuhusu vifaa hivi; Network Switch, Router na Hub.

PistolGang

JF-Expert Member
Jan 16, 2013
392
44
Habari wandugu?
Nina bussness idea kuhusu kufungua internet cafe' & PC games center. Moja ya mahitaji ni vifaa hivi, katika utendaji wa kazi na umuhimu wake. Network Switch, Router na Hub ni lazima uwe navyo vyote? Naomba msaada kwa maelezo ya kina juu ya hivi vifaa tafadhali.

Mwisho pia kwa upande wa gaming, kati ya AMD na Itel processor ni PC ipi ni nzuri.
 
Mi naona Ni mambo ya kizamani hayo na kukariri, kwa dunia hii ambayo kila kitu Ni wireless havina ulazima.

Hakikisha computer zako zote zina wifi, kama hazina zinunulie wifi ziekee then tafuta router moja ya maaana kwa ajili ya kusupply internet kote.

Ila jitahidi usome wifi vizuri na speed zake, zipo wifi za kizamani zipo slow.

Kuhusu Intel na amd, Intel wapo vyema zaidi ila kama utakuwa na gpu, kama hauna gpu (huna hela) then apu za amd ndio nzuri,

Sema kibongo bongo utapata desktop Vimeo inabidi uwe mjanja sana most of them Ni za kizamani miaka 7 iliopita, nakushauri tafuta desktop za kuanzia sandy bridge era 2011 hv.

Cheki hii thread itakusaidia
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-vifaa-vinavyotumia-processor-za-intel-3.html
 
Asante kaka. Vipi hizo WiFi unamaanisha huwa kuna card ambayo ntaiweka ktk pc ambayo haina wifi na bei huwa inarange na ngap mkuu
 
Zile za nje unazochomeka Ni 30,000 ila pia zipo za ndani ambazo unazichomeka kama gpu bei around hizo hizo.

Ila ukitafuta fresh unaweza pata bei chini ya hapo.
 
Oky,na vp unaweza kutumia program km timewatcher au zingine km hiyo ktk time management kwny internet cafe kwa kupitia wireless
 
Sioni muingiliano WA internet na timewatcher sababu hio timewatcher inalock tu pc muda ukiisha.

Pia adapter za wifi eBay Ni around dola 5 tu hivyo angalia kama una pc nyingi utasave,

Pia ulizia zaidi au weka tangazo jukwaa la matangazo nafkiri unaweza pata chini ya hio 30,000 nilioona mimi
 
Shukrani Chief.
 
Back
Top Bottom