Nina laki 5 sasa nataka simu inayotunza chaji walau kwa muda mrefu iwe na 4G pia maana tunakoelekea 4g ndo itakuwa inapeta. Ila pia sipendi masimu makubwa kama note 2
wadau naombeni msaada: nilifungua acc ya paypal sasa waliniambia watanitumia hiyo code
SWALI: nitazipa kwa njia gani hizo code za kuactive playpali akaunti yangu
*KAMA UJUI MTAG MTU AMBAYE...
Habari zenu wadau
Naomba msaada wa kiushauri kuhusu tatizo lililotokea kwenye laptop yangu.
Nina laptop aina ya lenovo.kwa muda kama mwezi mmoja display sijui imepatwa na matatizo gani.hili...
Habari wanajamvi,
Kumekuwa na dhana tofauti tofauti juu ya tatizo hili la kuongezeka kwa bili ya umeme.Japo ongezeko la ziada la bili kubwa ya umeme lina sababu za kitaalamu nyingi...
Habari za asubuhi wadau,
Husika na kichwa tajwa hapo juu, nimejaribu ku unlock hiyo modem lakini sijafanikiwa, nime generate unlocking code and flashing code kupitia huawei code calculator lakini...
Habari za kazi wakuu, ninashida ya kupata software ya ku-design kazi za umeme kama,
i. Majengo marefu
ii. Domestic
iii. Viwandani
Nimetaja kwa uchache. Unaweza kunisaidia kuipata kwenye CD au...
nimekuwa niktumia zaid magari ya ulaya yanayosoma max speed ya 260km/h kuliko ya japan ya 180km/h. je ni kweli kama magari yana engine sawa au zinazokaribiana kama cc 2500 kwa 3000 kukawepo na...
Msaada mwenye scatter file ya mt6580 naitaj nitumie kwene sp flash tool naitaj kumake my cwm for my phone tecno j5 mpya coz inazngua kutengeneza scatter file kupitia mtk droid tool. Ntumie kwa...
Tolea jipya kabisa la Tecno Phantom Z ni shida na hawa jamaa wanaweza fika mbali sana na hizi simu zao
General Information
2G Network
GSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G Network
HSDPA...
Hello wadau nataka kujua kuhusu namna ya kuunga hii kitu, yaani simu yangu moja inakuwa na whatsapp ambayo inakuwa connected na line mbili.
Nimesikia hii kitu ipo ila aliyeniambia aliona tu kwa...
Wakuu natumia universal moderm ni ya airtel ila inafanya kwa simcard zote,nimeiweka kwenye computer ya WINXP automatically inaonyesha imeconnect via browser na kunipa home page ya airtel...
waungwana habari zenu pia poleni kwa shughuli,msaada wenu tafadhali naomba kupatiwa na kusaidiwa vyanzo vya kupata application nyingine ukitoa hii ya playstore,
mfano Mimi Nina
mobo market...
Salaam,
Nina saa yangu ya mkononi ya Samsung (Samsung Galaxy Gear ) ambayo niliinunua pamoja na simu yake Samsung Galaxy Note 3.
Sasa hii saa (Gear ) imezimika ghafla, Nimefanya jitihada...
Naomba kujua;
1. android yake
2.uwezo wake wa camera, kama ina front and back camera...pia flash
3.internal storage space
4.pia comment ubora au ubaya wake
+nataka nikainunue ila naomba...
Habari wana JF, nimekutana na haya madini ila sijui ni aina gani ya madini. Wengine wanasema ni shaba not sure.,
Vipi thamani yake???
Naomba mwenye uelewa nayo tafadhali.
.........nawasilisha......
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.