Naomba kuelimishwa kuhusu Hard disk

Codeblack

Member
Dec 23, 2012
94
40
Scenario 1
Katika computer mbili ya kwanza dell mini yenye intel atom ina run windows 8 na ya pili toshiba satellite A 110-133
.version ya zaman kidogo ina intel celeron ina run wondows 7 ultimate, 32 bit zote. Nika exchange hard disk kati ya hizo computer na zikawa compatible window ina run vizuri.

Scenario2
Zile zile computer nikaziwekea windows 7 ultimate kuja ku exchange hard disk zikawa zina boot lakin zinafika sehem zina flash blue screen then zina boot tena...

Kwa mwenye uelewa na hili naomba anieleweshe..na kama kuna uwezekano wa kurun hyo windows ya ndani bila kuweka nyingine..Karibuni.
 
Tuanzie hapa . ulifanya vile ukiwa unataka nn?.

Moja nilikua ndo nimeinunua ila uwezo wa hard drive ukawa mdogo ikabidi nibadilishe hard drive ya zaman kuja kwenye computer mpya sababu ndio nafanyia kazi zangu humo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom