Habari wana. Jf simu yangu Ina pop up kuwa kuna virus nIkiscan inasema kuna app zinaitwa Monkey test na time service n I have to uninstall them. Nikii uninstall baada ya mda zinarud tena na hcho...
wakuu salama?
kila nikitembelea wauzaji wa magari used, nakutana na magar ambayo si rahisi kuyaona mtaani kama ilivyo ya toyota, lkn unakuta yana bei nzuri kuliko hayo ya toyota.
nimevutiwa...
Ndugu mteja, tutabadilisha vifurushi vya Cheka kuanzia 8/10/2015. Kwa maelezo, tembelea tovuti yetu http://vda.cm/IntanetiBombastik Ahsante kwa kuchagua Vodacom
Rocket Internet ni kampuni ya kijerumani iliyoanzishwa na ndugu watatu ambao kwa pamoja wanajulikana kama Samwer Brothers, hawa wamekuwa mabilionaire na maarufu kwa kucopy idea za kampuni...
A year after the Nexus 6 Google unveils the next-generation phablet meet the Nexus 6P. Despite its name it has a 5.7" screen and it's not made by Motorola this time but by Huawei instead. It's...
Wakuu heshima kwenu Ma-IT na Ma-Technician...Jamani kiselula changu kimegoma ku-lunch Google play..Nishajaribu njia nyingi ikiwa ku-clear cach,kui-unst na ku-inst tena..na mpangilio wa data ni...
Hello JF
Kama Wewe Ni Mtumiaji Wa Instagram .. Sasa Nakuletea Instagram Plus. Hii itakuwezesha Kudownload ..Direct kutoka Instagram Bila Kutumia App Nyingine na Ku copy copy URL..
Pia...
Wadau salute kwenu,
Kama kichwa cha topic kinavyoashiria uhitaji wa haraka wa msaada wenu kwa ajili ya tatizo lililoikumba ghafla simu yangu.
Natumia Samsung Note 3 nimeiwasha sasa hivi ikawaka...
How are you doing people.
Am looking for a cable wire of remote trigger YONGNUO RF603NII.
Is there any one with the idea where I can get the cable in Dar es salaam.
Thanks for your replies
Je,naweza kubadilisha kompyuta yangu mfumo wa kujumulisha mahesabu,badala ya kujumulisha kwa MFANO:
---- -- --------1+1 = 2
----ikasoma --1 + 1= 11?
Naulizaa tu kwa uzuru,kuna jamaa...
Facebook Inc said it would launch a satellite in partnership with France's Eutelsat Communications to bring Internet access to large parts of sub-Saharan Africa.
The satellite, part of Facebook's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.