The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,396
- 9,264
Watu wengi naona tunakosea kutag jina kwenye mtandao wa facebook mimi binafsi nikiwepo nimejitahidi sana lakini haitokei tunaambiwa unaanza na @ alafu jina lakini inatokea hiyo alama na majina.
Msaada
cc Chief-Mkwawa
Msaada
cc Chief-Mkwawa
Last edited by a moderator: