Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,932
- 4,049
Habarini wakuu,
Mimi ni mtumiaji wa simu tajwa hapo juu. Tatizo ni kwamba siku za karibuni simu yangu imekuwa slow sana, inastuck mara kwa mara, pia muda fulan ukifungua baadh ya apps inasema app not responding.
Nimejaribu kufuta apps zote zisizo za muhimu, najaribu kukill tasks mara kwa mara na internal memory ipo ya kutosha lakin kila kukicha simu inazid kuwa slow, hasa ninapokuwa nimewasha data.
Naomba msaada wataalam nifanye nini hii simu iwe faster.